Mark 10:11-12

11 aAkawajibu, “Mtu yeyote amwachaye mkewe na kuoa mke mwingine, anazini naye. 12 bNaye mwanamke amwachaye mumewe na kuolewa na mume mwingine, anazini.”

Isa Anawabariki Watoto Wadogo

(Mathayo 19:13-15; Luka 18:15-17)

Copyright information for SwhKC